Unordered List


MJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA NDG JUMA USONGE AWAFARIJI WAZEE WA BARAZA LA MKOA NA WAZEE MBALIMBALI MKOA WA KASKAZINI UNGUJA


MJUMBE wa BARAZA KUU UVCCM Taifa Ndg Juma Usonge  akimjulia hali mmoja ya akina Bibi aliowatembelea
Ndg Juma Usonge Hamad akizungumza jambo na kundi LA wazee aliowatembelea 



DUA!! Wazee wakimfanyia Dua Mbaraza Ndg Juma Usonge Mara baada ya kwenda kuwatembelea 


PICHA YA PAMOJA



Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM taifa kutokea mkoa wa kaskazini unguja Ndugu JUMA USONGE HAMAD ametoa sadaka ya Mchele, Sukari,Unga na Mafuta kwa wazee wa baraza la mkoa na wazee mbalimbali mkoani humo, Lengo ni kuwasaidia wazee hao na waasisis wa Mapinduzi katika kuelekea Skukuu ya Edily Fitry

Mbaraza huyo pia ametapa nafasi ya kuwafikia wazee mbali mbali ambao kutokana na umri wao hawawezi kutembea na kupoteza nuru ya kuona.

Mbali na Sadaka hiyo, Wazee hao walishukuru msaada huo na kukishukuru Chama cha mapinduzi kwa kuwa na hazina kubwa ya kuwa na viongozi wanaochupukizia na wanaowajali wazazee na wananchi kwaujumla.
........................................


Chapisha Maoni

0 Maoni